Kwa mujibu wa kifungu namba 34(1) cha sheria ya Mtoto, wafuatao wanaweza kuleta ombi la mahakamani la mtoto kulelewa na mtu fulani
• Mtoto
• Mzazi wa mtoto
• Mlezi wa mtoto
• Afisa ustawi wa jamii