Kwa mujibu wa kifungu namba 47 cha sheria ya mtoto, amri ya uangalizi maalumu wa mtoto unaweza koma endapo
• Mtoto akitimiza umri wa miaka kumi na nane
• Mtoto akifariki kabla ya kutimiza umri wa miaka 18
• Mtoto akiajiriwa.