Haki ya kukata rafaa, kuomba marejeo na/au kuombamapitio ni haki ya kikatiba na kila mshitakiwaanastahili haki hiyo.