? Kwa mujibu wa kifungu namba 68 cha sheria ya ndoa, mjane anazo haki zifuatazo,
• Kuishi mahali popote apendapo
• Kutokuolewa tena au kuolewa na mwanaume yoyote ampendaye bila kuathiri matakwa ya sheria ya ndoa.