? Kwa mujibu wa kifungu namba 33 (1) cha sheria ya watu wenye ulemavu waajiri wanao wajibu wa kutobagua watu wenye ulemavu katika maeneo yafuatayo
• Matangazo ya kazi
• Sifa za kuajiri
• Katika viwango vya mishahara
• Katika mafao ya kazi
• Katika utoaji wa vifaa vya kazi