Ms. Laurencia Mayila
Ni wakili wa Mahakama Kuu ya Tanzania. Amebobea sana katika sheria za Kazi na Haki za makundi maalum kama wanawake na watoto. Amekuwa akifanya kazi na kampuni ya Uwakili ya Law House Associates.
Kwa ushauri zaidi wasliana nasi.