Je mtoto ana haki gani awapo kizuizini? Kwa mujibu wa sheria ya mtoto, mtoto ana haki ya kuwasiliana na wazazi wake, ndugu au mwanasheria wake. Kwa Maelezo Zaidi Wasiliana Nasi